Acts 27:28

28Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini,
Pima 20 ni kama mita 40.
baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.
Pima 15 ni kama mita 30.
Copyright information for SwhNEN